10/08/2019 ÿú #MUBASHARA.
14/08/2019 ÿú Uamuzi wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda timu ya kuchunguza chanzo cha ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro siku tatu zilizopita, utawaweka hatarini viongozi 11. Hali hiyo inatokana na watendaji hao kuwa na majukumu ya kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao sambamba na uokoaji, yanapotokea majanga, kama la moto uliotokana na.
10/08/2019 ÿú Rais John Pombe Magufuli amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watu 60 na majeruhi takribani 70 walioungua kwa moto baada ya lori lililokuwa na shehena ya mafuta kupata ajali na kisha kulipuka moto mjini Morogoro , Jumamosi tarehe 10 Agosti 2019 baada ya lori hili kupinduka wakati likijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki na kisha mafuta kumwagika na kushika moto .
10/08/2019 ÿú BAADA ya vifo vya watu takribani 60 vilivyotokana na Lori la mafuta kuwaka moto mkoani Morogoro viongozi mbalimbali wamewasili mkoani hapa kwa ajili ya kusim.
10/08/2019 ÿú WATANZANIA TUNALO LA KUJIFUNZA AJALI YA MOTO MKOANI MOROGORO .Kuna usemi unaosema kwamba ?Historia ni mwalimu mzuri japo mara kadhaa wanadamu tumeshindwa kuji.
Ameyasema hayo Jumanne hii baada ya kutembelea na kukagua Utendaji kazi wa maabara ya Mkemia Mkuu wa serikali ambapo ameisifia taasisi hiyo kwa kuchapa kazi ...;"