Jumat, 24 September 2021

Ajali Ya Moto Mkoani Morogoro

14/08/2019 ÿú Uamuzi wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda timu ya kuchunguza chanzo cha ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro siku tatu zilizopita, utawaweka hatarini viongozi 11. Hali hiyo inatokana na watendaji hao kuwa na majukumu ya kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao sambamba na uokoaji, yanapotokea majanga, kama la moto uliotokana na.

10/08/2019 ÿú WATANZANIA TUNALO LA KUJIFUNZA AJALI YA MOTO MKOANI MOROGORO .Kuna usemi unaosema kwamba ?Historia ni mwalimu mzuri japo mara kadhaa wanadamu tumeshindwa kuji.

11/08/2019 ÿú Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea jana mkoani Morogoro imeongezeka kutoka 69 hadi 71. Ajali hiyo imetokea jana Jumamosi Agosti 10, 2019 katika mtaa wa Itingi, Msamvu barabara ya Morogoro -Dar es Salaam baada ya lori la mafuta kupinduka na kuwaka moto muda mfupi baada.

10/08/2019 ÿú BAADA ya vifo vya watu takribani 60 vilivyotokana na Lori la mafuta kuwaka moto mkoani Morogoro viongozi mbalimbali wamewasili mkoani hapa kwa ajili ya kusim.

20/08/2019 ÿú Summary. Idadi ya waliokufa kutokana na ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro imefikia 99 baada ya majeruhi wawili waliokuwa wamelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kufariki. Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro (RC) nchini Tanzania, Dk Stephen Kebwe amesema vifo vinavyotokana na ajali ya lori la mafuta ya petroli kuanguka kisha.

15/08/2019 ÿú waliofariki ajali ya moto wa lori la mafuta morogoro wafikia 89 Malunde Thursday, August 15, 2019 Majeruhi saba kati 32 wa ajali ya lori la mafuta ya petroli iliyoanguka na kulipuka mkoani Morogoro waliokuwa wakitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dar es Salaam nchini Tanzania wamefariki dunia.

28/07/2021 ÿú Moto, 12/08/2019 ÿú Habari zaidi zinasema, Rais Dkt. Magufuli alipokea taarifa mapema ya ajali ya lori la mafuta na kusababisha vifo vya Watanzania 69, ambapo alimtaka aende mkoani Morogoro kwa ajili ya kuwasilisha salamu za pole kwa wananchi wa Morogoro na Tanzania kwa ujumla kufuati tukio hilo la kuhuzunisha. Waziri Mkuu amesema Rais Dkt.

wakazi dar es salaam waungana na benki ya exim kuchangia damu kwa ajili ya majeruhi wa ajali ya moto mkoani morogoro Contacts Shamo Tower, 6th Floor, Right Wing, 10/08/2019 ÿú Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa Morogoro , Dk Stephen Kebwe amesema miili ya watu 60 waliokufa baada ya lori la mafuta kupinduka eneo la Msamvu mkoani Morogoro na kuwaka moto muda mfupi baada ya watu kuanza kuchota mafuta hayo imehifadhiwa mochwari. Akizungumza leo Jumamosi Agosti 10, 2019 Dk Kebwe amesema zaidi ya watu 70 wamejeruhiwa na kupelekwa Hospitali ya ?;"