21/09/2018 ÿú Idadi ya watu ambao wamefariki dunia nchini Tanzania kutokana na ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichopinduka jana Alhamis katika Ziwa Victoria, imeongezeka na kufikia watu 86.
Chime Group ft. Mauku Malemo AJALI YA MELI MV NYERERE (Audio) Kalunde Media. x. Chime Group ft. Mauku Malemo AJALI YA MELI MV NYERERE Kalunde Media 16:03. Kalunde Media. x. Chime group wimbo - matage maisha 13:05. Jita , prod by papaa kabila. x..
27/09/2018 ÿú *Hakuna sababu ya kurudia makosa NA HILAL K SUED Kwanza kabisa napenda kuungana na wananchi wenzangu na watu wengine kwa kutoa pole kwa wote wale waliopoteza ndugu, jamaa na maswahiba wao katika ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere wiki iliyopita. Baada ya hayo ni vyema niingie moja kwa moja kwenye mada kuu ya [?], ?Huenda meta centre ya Mv Nyerere iko chini ya ?centre of gravity au nguvu ya uvutano ya asili ya meli ? kwa hali hiyo hakuna uwiano wa kuwa na uthabiti na utimamu ndiyo maana meli na vivuko vya aina hiyo huyumba na kuanguka. kila zikipata dhoruba,? anasema .
21/09/2018 ÿú #MVNYERERE Kinachoendelea Maombolezo Ajali ya Kivuko cha MV Nyerere Kufuatia ajali mbaya ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama karibu na Kisiwa cha Ukara, zoe...;"